RC Dendego Afungua Klinik Ya Kusikiliza Kero Za Wananchi Singida

Mkuu wa mkoa wa Singida Halima Dendego hii leo June 6,2024 amezindua klinik ya kusikiliza kero za wananchi katika ofisi yake akiwajumuisha pamoja viongozi wote wa mkoa na wananchi

Akizungumza wakati uzinduzi huo, Dendego amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupata ufumbuzi wa kero zao
Aidha ameongeza kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu katika ofisi za wakuu wa wilaya kila siku ya alhamisi na mara moja kwa mwezi katika ofisi ya mkuu wa mkoa

Post a Comment

Previous Post Next Post