Katika kurasa za Leo za IJUMAA ya August 2,2024 taarifa kubwa iliojitokeza katika kurasa mbalimbali za mbele ni uzinduzi wa safari za SGR huku katika kurasa za nyuma (za michezo) zikitawaliwa na maandalizi ya msimu mpya wa NBC Premier league hasa matamasha ya Simba Day na Mwananchi Yanayotarajiwa kifanyika kesho August 3 na kesho kutwa August 4
Tags:
MAGAZETI

.jpeg)
.jpeg)




.jpeg)





.jpeg)


